Rahisisha Maisha

Pata Mkopo wa
Pesa na Bima ya Gari
Kwa unafuu na haraka

Pakua Application ya Kimondo Fiance sasa na uanze kupata mikopo ya haraka bila usumbufu wowote. Tunakupa huduma bora za kifedha na bima ya gari kwa njia rahisi na salama.

Hero Image
Zaidi kuhusu

Kimondo Finance

Kimondo FInancial Service Limited tumesajili wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) kutoa huduma za kifedha (mikopo). Kwa kuzingatia mahitaji ya wateja wetu na hali zao, tumeamua kutoa mikopo kisasa na kwa gharama ambazo ni rafiki tukizingatia.

  • Weledi
  • Uwazi
  • Huduam bora kwa wateja
  • Teknologia rahisi
  • Mahusiano mazuri
  • utoaji elimu ya fedha
CEO Profile

Stellah Kimario

Mkurugenzi Mkuu

Tupigie muda wowote

+255 677 090 901

Business Meeting Team Discussion

Miaka10

Ya uzoefu

Mikopo Yetu

Mikopo yetu yote inatolewa kupitia Application ya Kimondo App, kwa kuzingatia vigezo na masharti.

Mkopo wa Chap chap

Kakitu ni mkopo wa muda mfupi kwa mahitaji madogo madogo na dharura.

  • Marejesho mpaka siku saba.
  • Kopa kuanzia Tsh. 10,000 mpaka Tsh. 1,000,000
  • Gharama na riba nafuu.

Mkopo wa biashara

Mkopo wa pesa wa muda mrefu kwa ajili ya biashara au malengo ya muda mrefu.

  • Mrejesho mpaka miezi sita.
  • Kopa mpaka Milioni 50.
  • Gharama na riba nafuu.

Mkopo wa Bima ya Gari

  • Kutolewa haraka kwa masharti nafuu.
  • Bima ya uhakika kutoka Sanlam Allianz.
  • Kianzio ni asilimia 30%.

Jisajili na Kimondo Finance upate kinga ya majanga dhidi ya gari yako.

Car Insurance

Tumesajiliwa na BOT

Kimondo Finance imesajiliwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kutoa huduma za kifedha.

App imepitishwa na BOT

App ya Kimondo Finance imeidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kutoa mikopo kidijitali

Gharama na riba nafuu

Gharama za mikopo pamoja na riba ni nafuu kulingana na miongozo ya benki kuu (BOT)

Huduma bora uhakika

Tunashirikiana na kampuni maarufu za bima za magari ili kutoa huduma bora

Inapatika kwa simu zote

Kimondo Finance App inapatikana kwa watumiaji wa Androi (Samsung, infnix n.k) na watumiaji wa iOS (iPhone).

Rahisi kutumia

Hauhitaji darasa maalumu kujifunza kutumia App yetu, tumemia alama na lugha rahisi kwa kila mtu.

Phone Mockup

Usalama wa taarifa binafsi

Imetumia teknolojia ya kisasa kuhakikisha taarifa zako binafsi na salama na haziwezi kudukuliwa.

Jihudumie kisasa

Kila kitu kimewekwa karibu yako ili kukupa urahisi wa kujihudumia kama kuomba na kulipa mikopo.

Unahitaji mkopo wa pesa au bima ya gari?

Download Application ya Kimondo Finance (Playstore au AppStore)

Download App

Mawasiliano

Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi

Mawasiliano

Tupo tayari kukusikiliza na kukupa huduma unayostahili.

Anuani

Ghorofa ya 3, Derm Plaza, Kijitonyama, New Bagamoyo Road

Dar es salaam, Tanzania

Simu

+255 677 090 901

Barua pepe

info@kimondofinance.co.tz

Tuandikie barua pepe

Wasiliana nasi kupitia barua pepe ya moja kwa moja.

Inatuma...
Ujumbe wako umepokelewa. Asante!