Anuani
Ghorofa ya 3, Derm Plaza, Kijitonyama, New Bagamoyo Road
Dar es salaam, Tanzania
Pakua Application ya Kimondo Fiance sasa na uanze kupata mikopo ya haraka bila usumbufu wowote. Tunakupa huduma bora za kifedha na bima ya gari kwa njia rahisi na salama.
Kimondo FInancial Service Limited tumesajili wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) kutoa huduma za kifedha (mikopo). Kwa kuzingatia mahitaji ya wateja wetu na hali zao, tumeamua kutoa mikopo kisasa na kwa gharama ambazo ni rafiki tukizingatia.
Mkurugenzi Mkuu
Tupigie muda wowote
+255 677 090 901
Ya uzoefu
Mikopo yetu yote inatolewa kupitia Application ya Kimondo App, kwa kuzingatia vigezo na masharti.
Kakitu ni mkopo wa muda mfupi kwa mahitaji madogo madogo na dharura.
Mkopo wa pesa wa muda mrefu kwa ajili ya biashara au malengo ya muda mrefu.
Jisajili na Kimondo Finance upate kinga ya majanga dhidi ya gari yako.
Kimondo Finance imesajiliwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kutoa huduma za kifedha.
App ya Kimondo Finance imeidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kutoa mikopo kidijitali
Gharama za mikopo pamoja na riba ni nafuu kulingana na miongozo ya benki kuu (BOT)
Tunashirikiana na kampuni maarufu za bima za magari ili kutoa huduma bora
Kimondo Finance App inapatikana kwa watumiaji wa Androi (Samsung, infnix n.k) na watumiaji wa iOS (iPhone).
Hauhitaji darasa maalumu kujifunza kutumia App yetu, tumemia alama na lugha rahisi kwa kila mtu.
Imetumia teknolojia ya kisasa kuhakikisha taarifa zako binafsi na salama na haziwezi kudukuliwa.
Kila kitu kimewekwa karibu yako ili kukupa urahisi wa kujihudumia kama kuomba na kulipa mikopo.
Download Application ya Kimondo Finance (Playstore au AppStore)
Download AppKwa maelezo zaidi, wasiliana nasi
Tupo tayari kukusikiliza na kukupa huduma unayostahili.
Ghorofa ya 3, Derm Plaza, Kijitonyama, New Bagamoyo Road
Dar es salaam, Tanzania
+255 677 090 901
info@kimondofinance.co.tz
Wasiliana nasi kupitia barua pepe ya moja kwa moja.